Friday, July 18, 2014

Picha:safari ya mwisho ya felix mushi

Ajali ya bodaboda iliyotokea siku yaa juzi maeneo ya hospital moshi arusha iliyo zua gumzo kubwa maeneo mjii wa moshi kutokana na umaarufu wa felix alimaarufu msaani au mchungaji hatimaye leo amezikwa nyumbani kwao masama na maelfu ya wakazi wa mji wa moshi kumsindikiza bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana li himidiwe

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...