Wednesday, July 2, 2014

STL kuja na Biashara 'remix'

Msanii mkali wa michano wa kike nchini Kenya Stella Mwangi aka STL ameibuka tena katika gemu akijiandaa kufyatua wimbo wake mpya uliobatizwa jina ‘Biashara’ Remix.

                                           MSanii STL wa nchini Kenya
Mwezi uliopita STL alifanikisha kufanya project zake za muziki na wasanii wakiwemo Kidis pamoja na rapa Shappaman kutoka kundi maarufu la Camp Mulla.
Tayari mkali huo ametoa picha yake na wasanii Kristoff na Khaligraph ambao kwa pamoja wanaungana kutoa remix ya single hiyo mpya ya 'Biashara'.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...