Thursday, July 3, 2014

UZI MPYA WA MAN UNITED


JEZI mpya za Manchester United zimevuja kwenye mitandao ya kijamii - huku picha za jezi hizo mpya zikiwa na nembo ya mdhamini mpya, Chevrolet.
Wakati Wekundu hao wanajiandaa kutambulisha jezi zao mpya maarufu nyekundu Jumatatu, tayari mashabiki wanaweza kuziona mapema zilivyobuniwa.
Nembo ya Chevrolet - zimetokea katika jezi hizo kama sehemu ya dili la udhamini wa rekodi, wa Pauni Milioni.
53.Authentic: The new images claim to show the Reds new shirt, complete with close-up shots

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...