Mwimbaji Britney Spears amevunjwa moyo baada ya kushuhudia
kipande cha video kilichovujishwa kikimuonesha mpenzi wake David Lucado
akimsaliti na msichana ambaye hakutambulika kwa haraka.
Katika video hiyo, David Lucado anaonekana akicheza na msichana huyo huku akimkiss kama wanaigiza filamu ya mahaba na wao ndio wahusika wakuu.
Britney Spears ameshindwa kuvumilia alichokiona na ameamua kumpiga chini Lucado na hivi ni single girl.
“Aahhhh! The Single life.” Ametweet Britney.

Ahhhh the single life!
— Britney Spears (@britneyspears) August 28, 2014
0 comments:
Post a Comment