Sunday, August 17, 2014

#BringBackOurWema: Mashabiki wa Diamond nao waanza kampeni dhidi ya Wema

#BringBackOurWema: Mashabiki wa Diamond nao waanza kampeni dhidi ya Wema Baada ya mashabiki wa Wema kuamua kuanzisha kampeni maalum dhidi ya Diamond wakimtaka amrudishe wema wao kwenye game walilomzoea #BringBackOurWema, mashabiki wa Diamond nao waibuka na yao.
Katika Instagram imefunguliwa akaunti maalum ya watu wanaojiita TeamDiamondTz nao wameanzisha kampeni ya kumtetea Diamond huku wakimtaka Wema kuachana na starehe zisizo na faida kama alivyosema Diamond.
Hii sasa ni vutanikuvute… Wema na Diamond wamewaachia mashabiki waendelee.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...