
Karrueche Tran ambaye amekuwa na mapenzi ya kimulimuli na
Chris Brown kwa muda mrefu, ametoa tamko ambalo linaongeza hisia kuwa
huenda tetesi za ukaribu wa Rihanna na Chris Brown zikawa za kweli.
Karruche ametoa tamko lake rasmi wakati akijibu swali la shabiki mmoja na kueleza kuwa Chris sio wake.
0 comments:
Post a Comment