Profesa Jay anajiandaa kuachia video ya wimbo wake ‘Kipi Sijasikia’
aliomshirikisha Diamond Platinumz. msanii huyo mkongwe ameachia
kionjo cha video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma wa Visual Lab. Kiangalie
hapa
YOUTH MOVEMENT

0 comments:
Post a Comment