Msanii wa muziki DJ Cleo anatarajiwa kuandika historia ndani ya Afrika
Mashariki, ambapo atatumbuiza katika siku maadhimisho ya miaka 25 ya
Demokrasia ya nchi yake ya Afrika Kusini ndani ya Kenya.
msanii wa muziki wa nchini Afrika Kusini Dj Cleo
DJ
Cleo atatoa burudani hii ndani ya jiji la Nairobi mwishoni mwa wiki, na
atashirikiana na wasanii kama vile Anto Neo Soul kutoka Kenya, Dela
pamoja na Vereso.
DJ Cleo amejijengea umaarufu mkubwa ndani ya Afrika mashariki kutokana na ngoma zake kali zenye maahadhi ya Kwaito.
DJ Cleo amejijengea umaarufu mkubwa ndani ya Afrika mashariki kutokana na ngoma zake kali zenye maahadhi ya Kwaito.

0 comments:
Post a Comment