Saturday, September 6, 2014

mtoto aliyewaleta future na ciara

baby-future-ciara-selfie-1
Rapper Future na Ciara walioripotiwa kutengana mwezi moja nyuma wamepatana na kukubaliana kujenga familia yao. Hizi picha mbili za mtoto Future Zahir mwenye miezi minne akiwa na mama yake Ciara.baby-future-ciara-selfie-2

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...