Monday, September 8, 2014

Hatujamaliza wiki ajali mbaya nyengine kanda ya ziwa

HABARI ZA HIVI PUNDE!! AJALI NYINGINE MBAYA MAENEO YA KIEGEYA GAIRO, GARI LA ABIRIA KUTOKA DAR-TABORA LIMEPATA AJALI MBAYA KIASI KWAMBA WATU KARIBIA 48 WAMEPOTEZA MAISHA. NI DK 6 ZILIZOPITA..PICHA HAZIFAI KUONWA NA MIMI NIKO ENEO LA TUKIO KWA AJILI YA UOKOZI..VIONGOZI MBALI MBALI WA SERIKALI TUNAO HAPA..KWAKWELI NI MAJONZI VILIO NK.
Air BUS DAR-TABORA...Copy n paste Kwangu muda Huu

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...