Thursday, September 11, 2014

Lamar: 'Refix' zimepokelewa poa, kila wiki kutoa 1

Mtayarishaji muziki mkali hapa Bongo, Lamar amekuwa akiendeleza projekti yake ya kutengeneza kwa mara ya pili kazi za wasanii mbalimbali hapa Bongo 'refix' kuziweka katika mahadhi ya kupati zaidi.

                                mtayarishaji wa muziki bongo Lamar
Lamar amesema kuwa mchongo huu umepokelewa vizuri sana na mashabiki ambao wamekuwa wakimsapoti sana kutokana na ubora wa kazi zake.
Lamar amewataka mashabiki kufahamu kuwa, kwa utaratibu aliojiwekea kwa kazi hii, kila wiki atakuwa akitoa ngoma moja kali ambayo atakuwa ameitia vionjo kwa ajili ya wapenzi wa muziki kupata burudani kali.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...