Tanki la mafuta likiwaka moto baada ya kupinduka eneo kati ya Morogoro na Dodoma.
Mashuhuda wanasema hakuna mtu aliyejeruhiwa na namba za gari lililobeba tanki hilo hazijajulikana.
Moto mkali ukiendelea kuwaka barabarani.
Ajali hiyo imetokea kilomita chache kutoka Morogoro kwenda Dodoma.
0 comments:
Post a Comment