Ronaldo anasema Sir Alex Ferguson ndiye kocha pekee aliyewahi kumchukulia kama ‘rafiki’.
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameibuka na kuelezea
wazi mapenzi yake aliyokuwa dhidi ya klabu yake ya zamani ya Manchester
United.“Naipenda Manchester,” alisema.

Ronaldo aliwapiku Manuel Neur na Arjen Robben na kuwa Mchezaji Bora wa Ulaya.
Kila mmoja analijua hilo – nimelisema hili mara nyingi. Manchester
iko moyoni mwangu. Nimewaacha marafiki wengi wazuri pale, mashabiki wa
ajabu na natamani nirudi siku moja pale.”
Ronaldo akifurahia tuzo yake ya Ballon d’Or aliyopewa kwa kuwa Mchezaji Bora wa Dunia.
Mchezaji huyo bora wa Ulaya pia hakusita kuelezea furaha aliyonayo Santiago Bernabeu.
Mashabiki wa Man U na Ligi Kuu huenda wanapenda kumuona Ronaldo anarudi klabuni hapo siku moja.
“Nina furaha hapa Real Madrid na nina miaka minne zaidi, ila hapo
mbeleni huwezi jua kwa sababu wananichukulia isivyo kawaida pale,”
aliongeza.
0 comments:
Post a Comment