Thursday, September 4, 2014

beyonce kazaliwa leo



Beyonce KnowlesLeo utakuwa umezaliwa na mwanamziki kutoka kundi la zamani la mziki wa R&B la wasichana la  Destiny's Child na amepata umaarufu tangu awe mwenye kwenye mziki toka kundi na mzungumzia  beyonce Knowles ambaye pia ni mchindi wa tuzo 17 Grammy Award mwaka 2013,kupitia wimbo wa  "Love on Top".beyonce alizaliwa mwaka 1981 tarehe kama ya Leona ni mama wa motto mmoja aliye mpata mwaka 2012 na mumewe jay z

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...