Wednesday, October 22, 2014

Amber rose aongelea skendo ya nick cannnon

Baada ya kimya cha muda tangu kuvuma kwa skendo ya amber rose kuwa na mahusiano na nick cannon hatimaye ameongea na kusema kuwa nick ni mtu ambaye amesign naye kazi kwenye label ya  “NCredible Entertainment” na yupo kikazi kwa sasa na wala hana mpango na mwanaume zaidivya kazi yake na mtoto wake wa kiume aliye mpata na wiz khaliffa  na ijapo kuwa nick anamatatizo na mariah ila tupo kikazi zaidi .
amber rose amesign na cannon tarehe 18 mwezi ulio kwisha na cannon kasha simamia wasanii wengi na mpaka sasa ana maugomvi na mariah na kisa mbwa.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...