Wednesday, October 22, 2014

Apigwa risasi mbele ya mkewe

Ni mmiliki wa sowers africa ltd anaishi mbezi beach jogoo alikua anapeleka pesa bank 18m kauwawa mbele ya mke wake
Inauma sana
Kapigwa risasi na watu wa bodaboda wakakimbia na hela
Source jamii forum

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...