Baada ya kuenea kwa taarifa za kwamba mkoa wa kilimanjaro kuna ugonjwa wa ebola na kuwafanya wa kazi wa mkoa wa kilimanjaro kuwa na wasiwasi mkubwahatimaye mkuu wa mkoa wa kilimanjaro leo ameongea na vyombo vya habari.
kwamujibu wa mkuu wa mkoa ameweka wazi na kusema kuwa mkoa uko shwari na hakuna ugonjwa huo wa ebola katika mkoa wa kilimanjaro.
Amani tele.
0 comments:
Post a Comment