Msanii wa filamu nchini, Rose Ndauka Jumamosi iliyopita alihaha akitaka
kumweka kati kimapenzi msanii Hip pop, Clifford Harris T.I.
Habari zinasema kuwa msanii huyo ambaye alikuwa ameonja kidogo mvinyo
aliwapasha mashoga zake aliokuwa nao karibu kuwa lazima atimize azma
yake.Ikasemwa pia kuwa katika jitihada zake hizo, Rose alijaribu kwenda nyuma
ya jukwaa ili kumtega msanii huyo lakini jitihada zake hazikufua dafu.
0 comments:
Post a Comment