Tuesday, October 21, 2014

hizi ni status za wasanii wa bongo baada ya kifo cha YP

habari zilizopo kwenye kila kona ya Tanzania sasa ni kuhusu kifo cha msanii aliye kuwa akiunda kundi la wanaume chini ya fela YP ambaye amefariki leo kwenye hospitali ya temeke aliko pelekwa baada ya kuzidiwa usiku wa jana na kwa mujibu wa fella msemaji wa kundi marehemu alikuwa akisumbuliwa na kifua na jana gafla alizidiwa na kukimbizwa hospital ya temeke na kwa bahati mbaya akapoteza maisha.YP atazikwa kesho na ameacha mtoto mmoja.
Hizi ni status za wa sanii baadhi ambao ni diamond,ally kiba,na marco chali

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...