Tuesday, October 21, 2014

leo siku mbaya kwa bongo fleva na bongo move

Wakati watu wakiwa kwenye simanzi na majonzi kwenye mziki wa bongo fleva nako kwenye bongo move mambo sio mazuri kwani muda si mrefu update nakupa kutoka morogoro binti  wa muigizaji maarufu mzee magari aliyekuwa akifanya kazi na kina mzee majuto na wengine na mchekeshaji aliyepata umaarufu gafla  SHELY MAGARI amefariki dunia katika hospitali ya rufaa ya morogoro mazishi na taratibu tutakuupdate hapa hapa .Taarifa na KAFTANY AFISA HABAR TDFAA TAIFA

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...