Mkali wa michano wa nchini Kenya, Juliani ameendelea na moyo wake wa
kusaidia jamii ambapo safari hii ameamua kuwajengea vijana kituo cha
sanaa huko Dandora.
Juliani
Juliani
amesema kuwa, kazi kubwa ya kituo hiki itakuwa ni kuendeleza sanaa kuwa
fani yenye kulipa kwa vijana hawa, ambapo pia kituo kitakuwa na studio
pamoja na kituo cha redio.
Msanii huyu ameweka wazi kuwa, lengo lake kubwa ni kuona vijana wengi wasiokuwa na ajira wanapata kazi za kufanya na maendeleo, hivyo kuepuka wimbi la uhalifu
Msanii huyu ameweka wazi kuwa, lengo lake kubwa ni kuona vijana wengi wasiokuwa na ajira wanapata kazi za kufanya na maendeleo, hivyo kuepuka wimbi la uhalifu
0 comments:
Post a Comment