Friday, October 17, 2014

Selena Gomez atembea na mwanaume mwenye umri mara mbili yake

Selena Gomez ameweka wazi kuhusu mahusiano yake na mtu mwenye umri mkubwa kuliko yeye na kumtaja Billy Crudup ambaye anaumri wa miaka 42 na yeye selena gomez anaumri wa miaka 21 nakusema kiukweli anatamtu mwenye upeo wambali na aliye mature ndo maana akaacha na justin kwani hakukuwa na future .

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...