Monday, October 20, 2014

kilimanjaro update:mwanaume aokotwa akiwa amekufa

Mwanaume anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 23-25 ameokotwa amekufa kwenye mtaro wa maji machafu maeneo ya majengo karibu na kiwanda cha kahawa cha coffe kyurini moshi mjini.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...