Nguli wa muziki wa Kizazi kipya Heri Samir ‘Mr Blue’, amesema anajiandaa kurudi upya katika tasnia ya muziki nchini.
Amesema amepanga kurudisha nguvu kwenye muziki atahakikisha anawafunika wasanii chipukizi.
Mr. Blue anajisikia vibaya kuona kiwango chake kimeshuka kwa kiasi kikubwa
amepanga kurejesha makali yake.
“Sitaki kufanya makosa nitakapokuja kuwa mpya kwani
nataka kubadilisha kila kitu katika muziki wangu ili niweze kujizoeleka
tena na mashabiki,” alisema Mr Blue.
0 comments:
Post a Comment