Shamsa ambaye amekuwa akionekana katika filamu za Jacob Steven ‘JB’ kama muigizaji mkuu, alisema ikifika mwezi ujao, atakuwa na kazi zake mwenyewe.
Alimwambia Mwandishi Wetu kuwa, anashukuru analipwa vizuri katika kazi anazofanya za waajiri wake.
“Siwezi kusema filamu hazinilipi, zinanilipa kwani wajiiri wangu wamekuwa hawana matatizo katika malipo, napata haki yangu bila ubishi, ila nahitaji kujitegemea,” alisema.
0 comments:
Post a Comment