Siku ya furaha duniani hii ilikuwa
Ijumaa March 20, huenda ni moja ya sikukuu ambazo hukuwahi kuzisikia
labda, lakini zipo na zinatambulika Kimataifa kabisa.

Siku hii ya furaha duniani ilitangazwa rasmi kuanza kuazimishwa mwaka 2012 na Umoja wa Mataifa UN.
Nakusogezea hiki kipisi cha video toka kwenye story ambayo waliiripoti TV ya Al Jazeera.. Pharell akitoa ujumbe wa siku ya furaha duniani..
0 comments:
Post a Comment