Ni mashindano yanayohusisha timu tatu hadi nne ila lengo likiwa ni
vilabu kupata mechi za kimataifa za kirafiki, ni muendelezo wa
mashindano ya Friendly Association Football…July 23 umepigwa mchezo
mmoja kati ya New York Red Bulls dhidi ya Chelsea ya UingerezaMechi ambayo imemalizika kwa Chelsea kufungwa kwa jumla ya goli 4-2 magoli ya New York Red Bulls yalifungwa na Castellanos dakika 51,Adams dakika 67, Davis dakika ya 73 na 78 huku magoli ya Chelsea yakifungwa na Remy dakika ya 26 na Hazard dakika ya 75
0 comments:
Post a Comment