Best Dj in town Dj Mafuvu ni kati ya watu waliamua kujitofautisha na
Dj’s wengine hasa kati upende wakazi .Dj Mafuvu alipiga story na safu
yetu na kudai kuwa Djs wengi wana jirahisisha kati kazi zao hapa ana
funguka .
”Djs wengi wana jishusha sana katika kazi zao na kupelekea kuwa chini
siku zote , ilakama mtu akinifata nifanyenae kazi yake lazima nikaenae
chini na kuzungumza coz when it come katika kazi ni kazi tu .But unakuta
Djs wengine wanafanya kazi kishaji sana na kupelekea kuwa chini sana
ana hii hutufanya wote tuonekane tunafanya kazi kishikaji wakati sio
kweli ”.
Ukitaka kufanya kazi na mimi lazima ufate masharti yangu yafutayo ili uweze kunipata niwezekupiga show yako.
1.Lazima tuwandikishiane mkataba .
2.Uwe makini na kitu tunacho kizungumza .
3.You have to pay me good coz kila show ninyao piga huwa natumia vifaa vyangu .
mtu ukiweza kuvifanya hivyo vitu basi tunaweza kufanya kazi wote sawa
na kila kitu kitaende poa , kwani hata Mtvbase walivyokuja last year
kutaka kufanya kazi na mimi walivyo nilipigia simu ili kufanya kazi yao
ya kuwarusha watu watakofika katika event yao . Niliweza kuonyesha Jinsi
gani nipo makini na kazi yangu wakashangaa walizania wabongo tupo
chini coz nilpowatajia amount niyanyo taka na vitu ninavyo tumia
wamkaweza kukubali kufanya kazi na mimi for that day ikaniongezea credit
kubwa sana ”.Dj Mafuvu
0 comments:
Post a Comment