Mshindi wa tuzo kibao, The Pos Star “New Flame” singer Chris Brwon
mwenye umri wa miaka 26, amekwama kuondoka Phillipines kwa sababu ya
mambo ya kimikataba kwenda mrama, imeripoti Phillipines News Agency
Wednesday.
Brown alizuiwa kuondoka nchini humo masaa machache kabla hajatakiwa kuwepo Hong Kong kwa ajili ya show nyingine.
Taarifa kutoka kwa wakala zinasema, amri imetolewa na Phillipines
Department of Justice Jumanne usiku kumzuia Chris Brown asiondoke nchini
humo.
Usiku ule alifanya show kama ilivyokuwa imepangwa lakini ilitolewa amri
ambayo ilimtaka Chris Brown awalipe pesa ambazo alilalamikiwa kuwa
anadaiwa na kundi la dini nchini humo kwa kutokwenda kwenye show mwaka
2014.
Ripoti zilionyesha kwamba, msanii huyo ambaye anafanya vizuri kwenye
charts mbalimbali alisema kwamba alishindwa kwenda kufanya show kwa
sababu alipoteza passport yake.
Brown amekuwa na mafanikio makubwa kwenye maisha yake ya muziki, ikiwemo
tuzo moja ya Grammy na tuzo tano za Billboards Musicm lakinia jamaa
huwa anakumbwa na matatizo kinoma noma
0 comments:
Post a Comment