msani wa mziki wa injili wa Tanzania Paul Clement alikuwa akihudumu kwenye bottle part moshi
Ted vibes walikutana na anold moshi
umati wa vijana kutoka nje na ndani ya mkoa wa kilimanjaro
misosi ya kutosha
Tobias mwingila kutoka Fountain Fm alikuwa mbele kabisa
Esther Machangu (malkia esther) kutoka fountain ali host show
0 comments:
Post a Comment