Friday, June 24, 2016

pastor mtilatinya:ngono ni dhambi

mchungaji wa kanisa la MTBC na pia ndiye mmiliki wa Radio Fountain iliyopo mjini moshi alianda part ya bottle part iliyo wakusanya vijana wa manispaa ya moshi pamoja na kujadili pamoja swala la mahusiano na swala la ngono.
kwenye part hiyo iliyo wakutanisha vijana pia ilikuwa na burudanoi ya mziki kutoka kwa wasani wa nyimbo za dini kutoka ndani ya moshi na nje ya moshi.
kwenye somo hilo ambalo mchungaji alipata nafasi ya kuwafundisha vijana jinsi ya kuishi kwenye mahusiano na pia kujiepusha na ngono zisizo na lazima.
ameongeza kwa kusema kuwa sio kukutana kimwili ndio ngono ila hata kuingia kwenye mazungumzo kiundani ni ngono pia

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...