Friday, July 1, 2016

Ijue Tanzania hapa kila siku

Tulianza kukutaarifu kama wiki mbili zimepita kuhusu kampeni ya #Sweettz na kila mtu kutaka kujua nini hasa majibu yake ni haya:
#Sweettz ni project itakayo kuwa inazungumzia nchi ya tanzania kiujum
A kuanzia vivutio vyake na yaliyo ya ajabu Tanzania na itakuwa inapatikana kila siku kwa kila kimoja kwa uzuri wake kwenye www.tedvibes255.blogspot.com .
Nia yake ni kupromote nchi yetu na vivutio vyake utakutana na picha za mitaa maarufu na historia zake lakini pia utakutana na picha za miji mikubwa na historia yake bila kusahau watu maarufu na historia zao vyote hivyo ndo vinaunda #Sweettz.
Kuna mengi yana tupa sifa Tanzania kuna mengi yameonekana nje kutoka Tanzania na ndo maana sweet kwa wageni tunadumishaje sweettz na unavijuaje visweet vya Tanzania tembelea hapa kila siku utakutana navyo

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...