Katika historia ya nchi ya Tanzania mkoa ulio tokea kupendwa na vijana wengi ni Dar-es-salaam ijapo kua ni mkoa mdogo ki ramani ila inaitwa jiji kutokana na kuwa na fursa nyingi za vijana na pia mambo mengi yapo katika jiji hili.
Mji wa Dar kwa kifupi kama unavyoitwa na vijana wa watu wengi kwa kifupi umeingia kwenye story nyingi duniani ikiwa ni pamoja na kujengwa barabara za kisasa na kuwekewa mabasi maalumu maarufu kama mabasi ya mwendo kasi lakini pia ndo mji wenye kila aina ya shughuli.
Waenyeji wa mji huu kama wametupwa nje ya mji huu na kadiri siku zinavyo zidi kwenda wanazidi kusogea nje ya mji kuelekea kusini mwa Tanzania haswa kisarawe na rufiji na watu wengi hujiuliza kati ya mkwere na mzaramo na mwenyeje wa dar nakujikuta kila mtu anajibu lake wengine mkere wengine mzaramo.
Swali la nani mwenyeji wote waenheji ila mzaramo ndo mwenyeje wa dar na ndiko chimbuko la kabila lao.
Dar ilipata umaarufu kutokana na kuwa na bandari kubwa ikulu na biashara ya soko la kariakoo moja kati ya masoko maarufu pia nchinihapa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Karibu Tz na hii ndo #sweettz
0 comments:
Post a Comment