AKIONGEA NA MOJA RADIO PANDE ZA MBELE 107.5 WGCI's TONY SCULFIELD KATIKA SHOW YA THE MORNING RIOT, FIASCO AMEDAI KUWA MISTARI ALIYOTUPI 50s ILIKUWA NI DISS KWAKE.JAMAA AMEDAI KUWA HAKUSHTUSHWA NA NA NGOMA YA KIONGOZI HUYO WA KUNDI LA G-UNIT.
LAKINI LUPE AMEAMUA KUCHILI JUU YA SUALA HILI NA KUDAI KUWA AMESHAFANYA MATAMASHA KIBAO NA 50 HIVYO ANAONA KAMA HAKUNA UMUHIMU NA WALA HACHUKULII KAMA NI BIFU AU DISS LA KUMUUMIZA KICHWA KWA KUWA ANAMAFANSI WA WENGI KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI.
HII SIO MARA YA KWANZA KWA 50 CENT KUDISS WASANII WENGINE KATIKA PROJECT YAKE YA 50'S STREET KING SERIES,KATIKA MFULULIZO WAKE WA 5 ULIOKUWA UNAJULIKANA KAMA LOVE, HATE, LOVE,AMBAYO ILIKUWA IMEJAA SHIT ZA KUTOSHA JUU YA LIL WAYNE AND GAME.
0 comments:
Post a Comment