Saturday, October 15, 2011

RICK ROSE AREJEA HALI YAKEE……

IKIWA NI SAA CHACHE BAADA YA JAMAA RICK ROSS KUPATA MATATIZO YA KUTETEMEKA NA KUISHIWA NGUVU AKIWA NDANI YA NDEGE YAKE BINAFSI HALI ILIYOMLAZIMU RUBANI WA NDEGE HIYO ALIYOKUWAMO STAR HUYO WA DEF JAM RECORDS NA MWANZILISHI  aka CEO WA MAYBACH MUSIC, KUSHUSHA NDEGE HIYO KATIKA KIWANJA CHA BIRMINGHAM, ALABAMA AKIWA NJIANI KUELEKEA KWENYE ONYESHO LAKE KATIKA MJI WA Memphis,NA KUPELEKWA KATIKA HOSPITALI YA BIRMINGHAM….

 HABARI ZILIZO RASMI KUTOKA KWA MADAKTARI NA  WASHIRIKA WA KARIBU WA RAPPER HUYO  WALE NA DJ SAM SNEAKER WAMEWATOA MAFANSI WOGA  KUWA HALI YA RICK ROSS INAENDLEA VIZURI NA AMEREWA NA FAHAMU…..   

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...