Wapendanao wenye historia ndani ya tasnia ya mziki, ambao ni wamiliki wakubwa wa makampuni makubwa nchini marekani BEYONCE na JIGGA wamezungumzia kuhusu ujio wa kichanga chao mnamo mwezi February mwaka 2012…
Beyonce aka mama kijacho amefunguka na kusema kuwa anayo furaha sana na yuko tayari kuitwa mama.
Bi.dada ana dai kuwa hivi sasa anajisikia kama maisha yake yamebadilika na kuongeza kuwa yeye pamoja na mzee wake aka baba kijacho JIGGA,ni kitambo cha miaka kumi katika mahusiano yao kama wapenzi bila kutetereka na kuongeza kuwa anamshukuru sana mungu kwa kumpa zawadi kubwa kama hii….
0 comments:
Post a Comment