MDAFADA RIHANA AMEFUNGUKA NA KUUTANGAZA UJIO WAKE MPYA IFIKAPO NOV-21 MWAKA HUU MZIGO HUO UNAKWENDA KWA JINA LA TALK THAT TALK NA KUONGEZA KUWA MAFANSI WATAWEZA KUUFUNGUA MOJA KWA MOJA KUPITIA MTANDAO WAKE WA KIJAMII A.K.A FACEBOOK.
KATIKA ALBAMU HIYO AMBAYO MOJA YA NGOMA IMESUKWA NA PRODUCER CALVIN HARRIS INAFANYA POA HIVI SASA IMESHA LIKI AKA KUSIKIKA...RIHANA AMBAYE MWAKA JANA ALIACHIA ALBAMU YA MWISHO KABLA YA UJIO HUU MPYA
"LOUD"AMBAYO ILIWEZA KUCHUKUA HADI NAFASI YA PILI KATIKA ZILE CHATI KUBWA BILLBOARD TOP 200 NA KUMPA HESHIMA......WAHOOOOOOOOOO!!!!!! TUSUBIRI PINI HIZO............
0 comments:
Post a Comment