Eckernforde hii ni taasii kubwa saana na niyasiku nyingi sana hapa tanga na ina shule kuanzia chekechea mpaka chuo na shule zake zimebeba jina la mtaa wa huuu na mtahuu umefanana na mtaa mmoja uliopa ujerumani na pia ukiangalia mtaa wake upo tofauti kimazingira na kwa mfano angalia mitaro na barabara ilivyooo .
0 comments:
Post a Comment