Monday, October 17, 2011

WASHKAJI WA WAWILI WA SNOOP WAARIBU…..


Washkaji wawili wanaopatikata katika kundi la snoop wamemponda msichana aliyekuwa amefanya maelewano ya kuwa na snoop katika usiku alio kuwa akifanya show ilifanyika pande za United Kingdom week end iliyo pita.ukiacha kumponda on stage washkaji pia walitaka kumbaka bibie ila ilishindikana na bibie kwenda kushtaki na waskaji kupatwa na hilo soo ila snoop aliachiwa huru baada yakuonekana hana kosa.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...