Toka ijumaa rozee alikua kapande cha hospital but now kesharuhusiwa kutoka yuko kitaani ambapo mchiz anaekwenda kwa jina la DJ sam Sneaker sku ya jana akiwa anahang na djKhalid.
Rick Ross alisafa na ugonjwa unaojulkana kama seizures siku ya ijumaa akiwa kwenye ndege akienda pande za Memphis kwenye consert huko Tennessee ishu ambayo ilipelekea ndege hiyo kutua kwa dharura maeneo ya bhimigham Alabama na akapelekwa hospital.
Show mbili za mchiuzi ziliairishwa huko, Tennessee so jamaa atakinukisha ijumaa usiku na jumamosi pamde za North Carolina.
Kwamujibu wad j khaled ana dai kuwa jamaa yuko poa sana.
0 comments:
Post a Comment