Mkongwe kutoka sanaa ya muziki nchini Kenya, msanii Amani ameweka wazi
kuwa yupo katika ratiba kali ya mazoezi katika kupambana na uzito mkubwa
ambao uliongezeka mwilini kwake hususan katika kipindi cha mwisho wa
mwaka uliopita.
Msanii wa nchini Kenya Amani
Amani
ambaye amesema kuwa uzito wake huu umechangiwa na kula pamoja na
kupumzika sana, na sasa anafanya zaidi mazoezi ya Yoga na kuhudhuria gym
sambamba na kutembea wakati wa jioni ili kupunguza uzito na kukaa
katika shepu makini.
Amani pia amekanusha taarifa za kuwa ujauzito ndio umechangia kwa yeye kuongezeka kama ambavyo tetesi zinazosambaa mtaani zimekuwa zikieleza.
Amani pia amekanusha taarifa za kuwa ujauzito ndio umechangia kwa yeye kuongezeka kama ambavyo tetesi zinazosambaa mtaani zimekuwa zikieleza.
0 comments:
Post a Comment