Monday, June 23, 2014

Wizkid: Rihanna ameniita 'amazing'

Wizkid: Rihanna ameniita
Mwimbaji wa Nigeria, Wizkid aambaye alilikuna sikio la Chris Brown na kuamua kufanya nae kazi anazidi kukubalika kwa watu ambao Chris anamtambulisha kwao.
Siku chache baada ya mpenzi wa Chris Brown, Karrueche Tran kuonesha kumkubali sana msanii huyo, Rihanna nae amemwagia sifa kwa kipaji alichonacho.
Kupitia Twitter, Wizkid ameeleza sifa alizopewa na Rihanna wakati akiwa studio akifanya kazi nyingine.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...