Bebe Cool
Bebe
Cool amesema kuwa, wakulima hawa walitakiwa kuzingatiwa na kuondolewa
mzigo wa kodi kubwa kutokana na mchango wao mkubwa wa kuipatia nchi hiyo
chakula.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Bebe Cool ametoa kile alichokiita ushauri wake kwa Mheshimiwa Rais Museveni kuwa, kuliko kutoza kodi kwa vifaa vya kilimo, ni bora kuongeza kodi zaidi katika vitu vya starehe ili kuepusha njaa katika siku zijazo nchini humo.

No comments:
Post a Comment