Pamoja na serikali kutilia mkazo swala la watu kuacha kukata miti lakini hali ya maisha ya watanzania inawalazimu kutumia kuni katika kupika pamoja na mkaa kwa swala hili nimepita hapa nimekuta kuni na mkaa vikiuzwa na kuliza kuambiwa kuni moja inauzwa 300 na mkaa kopo 700 na kuendelea haya ni maisha ya mtanzania wa hali ya chini na bado serikali inaimiza watu wasikate miti.
Credit kwa ima cheche kwa picha
:powered by msafiri phamacy
No comments:
Post a Comment