Wasanii wa nchini Jamaica, Cecile na Christopher Martin
Burudani
ya onesho kali kabisa kutoka kwa msanii huyu, itafanyika ndani ya Jiji
la Kampala katika tukio ambalo linatarajiwa kupewa sapoti ya kutosha pia
na wasanii wakali kabisa wa mindoko ya reggae na dancehall kutoka
nchini Uganda.
Christopher Martin ni miongoni mwa mastaa wakali kabisa kuweka rekodi ya kutumbuiza katika jiji la Kampala, akiwa katika orodha hii sambamba na wasanii Sean Paul, Shaggy, Konshens, Sean Kingstone, Mack Diamond, Alaine, Mr. G, Busy Signal, Elephant Man na wengineo.

No comments:
Post a Comment