Thursday, June 26, 2014

Joh makini:watu waamini watafika

Ngoma ya najiona mimi ya joh makini imeingia rasmi mtaani juzi na imeanza kufanya poa tayari na kukubalika ila joh ameongea na thade expensive.blogspot.com na kusema kuwa ngoma hiyo inazungumzia mambo mengi ila kubwa ni mtu kuamini afanyalo ipo siku litakuwa na litafanikiwa na atafikia malengo kubwa kukaza

No comments:

Post a Comment