Mashabiki wa Algeria wamejitokeza katika mitaa ya Egdware Road
jijini London kushangilia hatua ya kufuzu kwa timu yao katika Kombe la
Dunia kuingia kwenye 16 bora kwa mara ya kwanza katika historia yao.
Polisi walilazimika kuingilia katika kutuliza “mzuka” uliofanya hata magari yakwame kwenye foleni.
Mashabiki wa Algeria wamejitokeza katika mitaa ya Egdware Road jijini London kushangilia hatua ya kufuzu kwa timu yao katika Kombe la Dunia kuingia kwenye 16 bora kwa mara ya kwanza katika historia yao.
Polisi walilazimika kuingilia katika kutuliza “mzuka” uliofanya hata magari yakwame kwenye foleni.
0 comments:
Post a Comment