Dereva wa daladala ya Gongo la Mboto – Posta amepata kichapo kutoka
kwa abiria baada kutaka kupindua daladala karibu na stendi ya mnazi
mmoja, kichapo hicho alikipata baada yeye kutaka kukimbia.
Kichapo kinaendela kwa dereva huyo aliyesemekana kuwa ni deiwaka tu.
Daladala aliyoitaka kuipindua.
Deiakadeiwaka wa daladala la Gongo la Mboto Posta katikati aliyevaa shati la bluu akipewa kichapo na abiria.
0 comments:
Post a Comment