Mwanamuziki nguli wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama General Defao akwama hotelini jijini Mombasa baada ya kushindwa kulipa Bili ya Ksh 20,000.
Mkali huyo wa kutoka nchini kongowa miondoko ya rhumba amesema ameshindwa kulipa bills kutokana na kukosa kiasi cha sh. Ya kenya elfu 20000.
Ameongeza kuwa club iliyo mleta ndo wameshindwa kulipa bills za chakula na malazi na ukiangalia alikuwa amebokiwa tarehe 28 mwezi wa saba lakini meneja wa club hiyo akamwomba akae mpaka tarehe 3 ndo aweze perfom matokeo yake meneja aliye mweka akashindwa lipa bills za siku 4
0 comments:
Post a Comment