Tuesday, November 8, 2011

NICKI MINAJ KWENYE TAMASHA LA VICTORIA'S SECRET FASHION SHOW

Mwanadada mwenye mvuto nick atarajia kuwa kwenye tamasha la Victoria's Secret Fashion Show kwani ametajwa kuwa kati ya wasanii wenaotakiwa kupafomu kwenye tamasha hilo akiwa nawasanii wengine kama Kanye West na Maroon 5 na litafanyika mwezi huu tarehe 29

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...